Wednesday 22 July 2015

UCHAGUZI WA MADIWANI VITI UWT BUKOBA MJINI WAFANYIKA , MWAJABU GALIATANO AONGOZA KWA KURA.

 Mbunge wa Jimbo la Bukoba mjini Balozi Khamis Sued Kagasheki ambae alikuwa mgeni rasmi katika mkutano wa uchaguzi wa UWT Bukoba mjini wakati alipowasili katika ukumbi wa St Francis.
 Wajumbe wa Mkutano wa UWT Bukoba Mjini.
 Wajumbe wa kata Ijuganyondo.
 Bw Muganyizi (kulia) mwenyekiti wa kata ya Hamugembe akiwa na bw Bingwa.
 Kulia ni Mbunge viti maalum Mh Benadeter Mushashu.
 Katibu wa ccm Mkoa wa Tabora Bi Janath Musa Kayanda akisalimia wa mama, ambae pia anagombea nafasi ya Ubunge viti maalumu Mkoa wa Kagera.
 Bi Mwajabu Galiatano wakati akiomba kura kati ya wagombea 12 yeye aliongoza kwa wingi wa Kura za kishindo.
 Murungi Kichwabuta akiomba kura.amekuwa wa sita.
 Bi Mektilda ambae amekuwa wa pili.
 Bi Ashura Hassan amekuwa wa tano.
 Kuanzia kushoto ni namba moja mpaka sita.

No comments:

Post a Comment