Sunday 14 May 2017

ANGALI MATUKIO YA HAFLA YA KUMUAGA DK WENCHESILAUS MWOLEKA KUSTAAFU UTUMISHI WA UMMA.

Ilikuwa ni siku ya furaha iliyochanganyikana na majonzi  siku ya hafla fupi ya kumuaga Daktari wa Macho katika hospital ya rufaa Kagera  Dk Mwoleka ambae amestaafu utumishi wa umma kwa mujibu wa sheria,ndugu , jamaa , wafanyakazi wenzake na marafiki walijumuika katika ukumbi wa Linas kwa kula, kunywa na buburudika kwa pamoja.(katika picha kushoto Dk Mwoleka akiwa na mke wake wakikata keki) hongera sana kwa kustaafu utumishi wa umma salama na hasa katika serikali hii ya awamu ya tano, si kitu cha mchezo.


No comments:

Post a Comment