Wednesday 19 March 2014

CCM YAZINDUA KAMPENI ZAKE KWA KISHINDO JIMBO LA CHALINZE, KINANA, MAMA SALMA KIKWETE WAMNADI RIDHIWANI


 Katibu Mkuu wa CCM, Andulrahman Kinana akimnadi mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM katika uchaguzi mdogo jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni za CCM ulifanyika jioni hii kwenye viwanja vya Miemnbe saba, Chalinze, 
Ridhiwani akiomba kura katika mkutano huo.

No comments:

Post a Comment