Monday 23 December 2013

BEN MULOKOZI AKIPENDEZA NDANI YA JAMCO BARBER SHOP

                         Ni gari ya Ben Mulokozi ikiwa nje ya likimsubiri akifanyiwa usafi ndani
                                               Ben Mulokozi  kiti cha kwanza  kulia akifanyiwa usafi
             Mahusiano na kufaamiana zaidi ni katika maeneo kama haya, kijana Ruta amelizingatia hilo
Karibu Jamco Barber shop kwa huduma nzuri, Uongozi wa Jamco Video Production na vitengo vyake  inawatakia heri ya x-mas na mwaka mpya.

No comments:

Post a Comment