Wednesday 8 April 2015

GISSELA MONTANIUS AWEKA MAMBO HADHARANI,AVISHWA PETE YA UCHUMBA NA BW AMANI TIMOTHY,MWENYE WIVU AJINYONGE,ILIKUWA NI SHIDAAA KANYIGO BUKOBA

 Ni Bi Gissela akionekana mwenye furaha akiwa na  chaguo lake mara baada ya kuvishwa pete na kutolewa mahari na hatimae tarehe ya ndoa kuwekwa hadharani, Ilikuwa ni hafla ya aina yake iliyofanyika nyumbani kwa bi harusi mtarajiwa Kanyigo, shangwe, vifijo , nderemo vilisikika na kutawala mara pale Bi Gissela aliposimama mbele ya kadamnasi iliyohudhuria na kutamka bila wogo na kujiamini kumtambulisha Bw Amani kuwa ndio chagua lake.Hakika wanapendeza , wanafanana na kikubwa wanaendana.
 Ni wageni waliotoka Bukoba mjini kushuhudia tukio.
 Mambo ya mira na desturi za muhaya.
 Kulia ni Mzee Pius Ngeze Baba mdogo wa Bw Harusi mtarajiwa.
 MAMBO YA MAHARI HAYO.
 wAITU MWAYUKAYO OMURUGENDO, kARIBUNI POLENI NA SAFARI.
 Salamu kwa wazee.
 Orodha ya vitu husika ikisomwa na kukabidhi.
 Mama mkubwa wa bi harusi mtarajiwa akabeba entukulu yenye kila kitu muhimu.
 Akamwani baada ya kupokelewa mahari ya binti.
 Wakati wa chakula.
 Mama na mwana,
 Ukafika wakati muafaka mambo yakaweklwa hadharani.
 Asante gissela hakika  ndoto yangu leo imetimia mungu atuongoze siku ya siku ifike.
 Kitu kikiwa mahara pake,wadada wengi sana wanatamani hii siku.
 Tabasamu baada ya kuvishwa pete.
 Chearssss
 Mzee maata sana nae akigonga chears muda wote alikuwa akichukua matukio.
 Picha ya pamoja,
 Hakika wanaendana.
Mama na mwana, wakiwa na bi enjoy, ilikuwa ni shidaaa, hongera Bi Lucy.

No comments:

Post a Comment