Tuesday 10 January 2017

OMWANA MARIA VERDIANA MBONEKO ATIMIZA MWAKA MOJA TANGU AFARIKI,ASKOFU KILAINI AONGOZA IBADA YA KUMUOMBEA.

 Ni mwaka moja sasa tangu marehemu Omwana Maria   Verdiana Mboneko  aiage dunia na kuzikwa  nyumbani kwake Gera, Ni siku ya pekee wanafamilia toka pande tofauti wanakutana tena baada ya mwaka mzima na kushiriki ibada ya kumbukumbu ya marehemu,Ni bahati ya pekee katika familia pale baba askofu Methodius Kilaini akiwa na mapadre wengine wanaongoza  ibada takatifu ya kumkumbuka Omwana Maria Verdiana Mboneko, Pumzika kwa amani.
 Ni eneo maalumu liliojengwa kitaalamu na kisasa alipozikwa omwana  Maria Mboneko.

 SHUKRANI ZA FAMILIA.
 Baba askof Methodius Kilain akibariki kaburi.
 wajukuu wakitoa neno.
 Bw Majid Kichwabuta, Busyy
 B Graice Rwihura katika ubora wake.
 Si unakumbuka vilikuwa viwili.
 Bw Yunus Kabyemela.
 Omulangira Rugaibura (kushoto) akiwa na Dr Kataruga.
 Mwl John Mugango akifanya vitu vyake.
 Burudani.
 Omulangila Ben Kataruga akiwa na Bw Deo Rugaibula(kulia) wakiteta jambo.
 Neno la shukrani kwa niaba ya familia.


No comments:

Post a Comment