Sunday 12 May 2013

CAMERA YETU JUMAPILI ,WATU WAKO WANAJISHUGHULISHA KWENYE MAENEO YAO YA KAZI

         Ni jumapili tulivu,hali ya mawigu ya mbali , na badae kijua kinawaka kwa mbali tunapita mitaa ya bukoba manispaa,watu wengine wameshatoka kanisani wanaendelea na shughuli zao,wengine wapo wanaongea na wenzao nk. tukaona si vibaya wadau wetu wapate nini kinajiri maeneo hayo karibu.

 Ni maeneo ya kanisa la kkkt maarufu kengere tatu kuna jengo limepaa hewani kwa speed kubwa,kwa mujibu wa vyanzo vyetu ni jengo linalomilikiwa na ndugu Thadeo Mutembei anaishi dar mkazi wa  bugabo kishanje bukoba vijijini, watu kama hawa ni muhimu sana wanawekeza nyumbani lakini pia inasaidia manispaa yetu kukua, pongezi sana ndugu mutembei
 watu wako busy mtaani jumapili ya leo
 Mama mjasilia mari anaonekana anamsaidia asekdo,kikubwa  mama mizigo yake ifike salama anaelekea kashai.
 mohamed kikwemu yupo dukani kwake
 kwa mbali namvuta mtu anasoma magazeti maeneo ya bilele,ni patri huyu sikuweza kupata jina lake
 maeneo ya omukigusha kcu gareji bodaboda wanasubiri wateja
 mama rudo,mama mchapa kazi huyo,ni jumapili katoka kanisani ,kazi kama kawaida

 gulamu visramu anafurahi kuangalia blog yetu,jumapili safi anapoza kwa malt chezee bakresa wewe..


 Ni jumapili lakini watu busy barabara ya jamuhuri maeneo ya kibengwe bazaar
 chinga shop,mtoto umleavyo  ndivyo akuavyo,waandi wanapenda sana staili hii ya kumzoeza mapema mtoto pesa,anakaa anaziona sio mnazificha.

 mr arubu anawasubiri wateja waje wafuate vinywaji vya jumapili
 ATM ya CRDB WATU KIDUSHU  JUMAPILI YA LEO
 MAMA MUGANYIZI NI KIKAZI ZAIDI JUMAPILI YA LEO,MAMA WA SERENGETI BREWERIES

 MAMA KAZINDUKI NA BEST YAKE, PANDE ZA KAZINDUKI SHOP
 ANASUBIRIA WAJE WATOE NA KUWEKA
 MZEE  WA JAPANI ,SICARIONI MITAA YA ONEWAY TULIKUTANA JUMAPILI YA LEO

 ONEWAY HIYO,JENGO LA RAJABU SONGORO
 NI JENGO JIPYA LA KCU (KITEGA UCHUMI)LIPO ONEWAY KATIKA HATUA ZA MWISHO
 MZEE WA ONEWAY
 MAMA EDGAR SHOP ONEWAY
 BABA EDGAR ACHEZI MBALI JUMAPILI YA LEO,SAMBAMBA NA WIFE WAKE


 MUSHAMU DUKANI KWAKE ONEWAY
 KYAJUGA  MZEE WA 888 YUPO KIKAZI   ZAIDI JUMAPILI YA LEO

 ABASI SHOP STAND,AKIWA NA GORGE LYAKURWA

 ABDUL GALIATANO AKIWA DUKANI KWAKE
 SADATI KAMACHUMU SHOP
 KUNA MTU HUWA ANA MUITA P NADHANI ANAMAANISHA PROSPER
 GULAMU, BINGWA NA MDAU WAMEPOZZ

 HABARI NI MUHIMU
 MATUNGWA VIDEO,AMAD NA TESO BOY KATIKA HARAKATI ZA MAANDALIZI YA TAMTHILIA YA MWAMVULI MWEUSI
 MTAALAMU WA KUTENGENEZA TAMBUU

 NILIKUTANA NAWADADA WAKIJIREMBA KUELEKEA VIWANJA NDANI YA LOVE& NICE SOLOON
 MITAA YA SOKONI NAKUTANA NA USTADHI KAZINJA AKIWA NA FAMILIA ANATOKA SHOPING


 ENSENENE NENURA USHAGA ENYAMA UPO HAPO(SENENE WATAMU KULIKO NYAMA) ALIIMBA MWIMBAJI MMOJA REVINA KASABIRA
 JUMAPILI  MAENEO YA SOKO WATU WANACHEZA KARATA



 MAENEO YA SENET HAPO ABDU KAGASHEKI AKIWA NA MZEE MAULD KAMBUGA
 UKITAKA HABARI ZA MJINI ,TANZANIA  NA DUNIANI FIKA SENETI ILA KABLA YA KUANZA NA WEWE KUSAMBAZA ZIFANYIE UTAFITI KWANZA
 MZEE ABASI NAKAMBUGA
 MZEE KASHASIRA AKIWA DUKANI KWAKE,NINA HAKIKA SHAMILA HUKO HULIKO UTAFURAHI KUMUONA DADY
 NI JUMAPILI SHOPING MUHIMU, SADAT BUTIQUE

 MAMA KABUTA MTAANI NA MWANAE JUMAPILI YA LEO
 JAMCO BARBER SHOP KW A NJE

 ANAKATIZA MAMA KABUTA NI JUMAPILI CAMERA YETU MTAANI
 MTOTO KAJA KUNYOA
 KARIBU JAMCO BARBER SHOP
 MZEE RENATUS KAPUMZIKA NYUMBANI  NI JUMAPILI

 DJ SLAY MTAANI
NI JUMAPILI  BUKOBA MANISPAA KILA MTU NA MISHEMISHE ZAKE.ENDELEA KUANGALIA BLOG YETU NA KUITANGAZA KWA NDUGU ,RAFIKI NK

No comments:

Post a Comment