Friday 17 May 2013

BI JANATH MUSA KAYANDA APATA MSHANGAO APEWA ZAWADI YA GARI BILA KUTARAJIA

 Akiwa ahamini anachoelezwa na swaiba wake mama rubi ,bi janati kapata mshangao viwanja vya bukoba club akimueleza ni zawadi yako kutoka mwanao jamila suleiman
 ni gari aina ya spacio bi jamila suleimani kamnunulia mama yake bi janati musa

 wadau wakishuhudia tukio la kihistoria kwa bi janati musa jioni ya leo
 mama rubi swaiba na bi janati wameamsha mikono kumshukuru mwenyizi mungu
 bi janati alibubujikwa machozi ya furaha
 kama kawaida yake bushira katika matukio muhimu huwa anayanusa na kushiriki
 ramadhani kambuga swaiba wa janati akiwa na naima wanafurahia tukio
 bwana shafi nae hakuwa mbali na wadau wengine wanafurahia


tukio la mwisho ni mama rubi mpango mzima ndie alioujua peke yake na  jamila za pekee kwaanakabidhi funguo za gari kwa bi janati musa. pongezi pekee kwa bi jamila suleimani kwa kitendo cha historia alichomfanyia mama yake(wakola muno omukama mungu akubele)

No comments:

Post a Comment