Thursday 16 May 2013

REDD'S MISS KARAGWE 2013 KUPATIKANA 25-5-2013,ISHA MASHAUZI KUTUMBUIZA

NEW PK STUDIO IKISHIRIKIANA NA JAMCO VIDEO PRODUCTION wanakuletea REDD'S MISS KARAGWE 2013.   Baada ya kuwapata warembo kutoka katika maeneo mbalimbali katika wilaya ya karagwe sasa25-5-2013 katika ukumbi wa KDRDP atatafutwa  redd's miss karagwe 2013. KARIBUNI SANA , ISHA MASHAUZI ,ROSE JIMAMA NA BK SANDE WATATOA BURUDANI.

No comments:

Post a Comment