Thursday 16 October 2014

KAMANDA WA VIJANA KATA YA BILELE ATOA BANDO TANO ZA MABATI KATIKA UJENZI WA MAHABARA SHULE YA SEKONDARI BILELE BUKOBA MANISPAA.

 Katika jitihada ya kuunga mkono agizo la rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dk Jakaya Mrisho Kikwete kujenga Mahabara kila kata nchini kwa ajiri ya Wanafunzi wa shule za Sekondari, Kamanda wa kata ya Bilele Ashirafu Kalumuna ameliona hilo na kuliunga mkono kwa kuchangia bando tano za mabati zenye thamani ya shilingi 1,850,000 za kitanzania kwa ajiri ya kuezeka Mahabara ya shule ya sekondari Bilele.
 Wa pili kulia ni Kamanda wa kata Bilele Ashiraf Kalumuna akimsikiliza mtendaji wa kata Bilele Bw Ibrahimu akitoa neno  la shukrani.
 Wananchi mbalimbali waliohudhuria.
 Mwenyekiti wa ccm kata Bilele Taofiq Sharif akitoa shukrani.
 Mjumbe wa Mkutano mkuu wa Taifa CCM Almasoud Kalumuna  Kamala akisalimiana na Wanafunzi wa shule ya sekondari Bilele.
 Waandishi wa habari waiendelea na kazi,kutoka Itv,Cloud's Tv na Channel 4 Tv  Bukoba.
 Mwanafunzi akitoa shukrani.
 Picha ya pamoja na uongozi wa serikali ya mtaa na uongozi wa shule ya Bilele.
Bwana Thabit, mjumbe kamati ya ujenzi wa Mahabara Bilele.

No comments:

Post a Comment