Sunday, 12 October 2014

KAMANDA WA KATA YA BILELE ASIMIKWA AANZA KAZI KWA KASI, KUCHANGIA UJENZI WA MAABARA KATIKA KATA YA BILELE BUKOBA

 Mjumbe wa Halmashauri kuu ya chama cha mapinduzi Taifa (NEC) wa Bukoba Mjini Abdul Kagasheki akimsimika kamanda wa Umoja wa vijana kata ya Bilele Manispaa ya Bukoba Ndugu Ashiraf Kalumuna katika hafra iliyohudhuriwa na wanachama na wapenzi wa chama cha mapinduzi kutoka katika kata  14 za jimbo la Bukoba mjini.
 Kabla ya kuanza maandamano kuelekea kwenye ukumbi wa Lina's Kanda mteule alifika ofisi za chama wilaya kusaini kitabu cha wageni,pembeni ni Katibu msaidizi ccm Bukoba mjini Abdul Kambuga.
 Kamanda mteule akisaini kitabu cha wageni ofisi za vijana Bukoba mjini,na pembeni mwenye shati la kitenge ndio katibu wa vijana manispaa Bukoba.
 Kamanda wa Kata ya Miembeni Jamal Kalumuna akisalimiana na viongozi wa vijana Manispaa Bukoba.
 Maandamano yalianzia ofisi ya chama Bukoba mjini kupitia maeneo mbalimbali ya mji na kuelekea ukumbi wa  Lina's.
 Msafara wa Bajaji na magari
 Viongozi wakiwa na mgeni rasmi wakipokea maandamano
 Gwaride maalumu kwa ajiri ya mmvisha skafu kamanda mteule
 Kamanda mteule akikagua Gwaride
 Wapenzi wa ccm waliojitokeza
 Kamanda akiwa na mgeni rasmi
 Mwenyekiti wa ccm bukoba mjini Yusuf Ngaiza
 Jamiri Taarabu kwa wimbo wao mzuri ukawaamsha wapenzi kwenda kuwatunza
 Mwenyekiti wa ccm kata bilele Taufiq Sharifu (ambae amestaafu  ukamanda wa bilele) akifungua hafra ya kumsimika kamanda
 Katibu wa kata bilele Bushira Jumanne
 Mchumi wa ccm Bukoba mjini
 Wajumbe wa mkutano mkuu wa Taifa
 Kamanda wa kata ya Miembeni Jamal Kalumuna akitoa salamu kwa niaba ya makamanda wote wa kata zote za jimbo.
 Katibu wa vijana kata ya Bilele na mjunbe wa mkutano mkuu wa Taifa Isabela akisoma risala ya umoja wa vijana kata ya Bilele

 Kikundi cha ngoma cha Amadi kikitumbuiza.
 Channel  4 Tv wakichukua matukio
 Kamanda akisimikwa rasmi
 Sasa ni Kamanda wa kata ya Bilele
 Kamanda akiwa na mke wake
 Mgeni rasmi akitoa hotuba. amechangia laki tano kwa ajiri ya ujenzi wa Maabara ya Kata Bilele
 AKAMZUNGUMZA KAMANDA JINSI ANAVYOMFAHAMU, NA AKAWAELEZA WANA BILELE KUWA HAWAJAKOSEA
 Bingwa akafanya vitu vyake
 Hapana chezea yeye bingwa ni hatariiiii mayenuuuu
 Kamanda akatoa hotuba, akawaeleza wana Bilele kuwa, umefika wakati sasa  bilele kuikomboa kata na kuwa na mshikamano.Pia amechangia bando tano za mabati kwa ajiri ya Maabara ya kata.

 Mtendaji wa kata Bw Ibrahim akitoa shukrani kwa wote wanaochangia shughuri za maendeleo kata ya Bilele
 Jamiri Taarabu wakaweka vitu
 Pongezi zikamiminika
 Waimbaji wa Jamiri Taarabu
 Wakati wa chakula
 Kamanda akiwa na wamama ambaowalifurahi sana kushiriki hafra ya usimikaji kamanda.
Jamcoblog. inawapongeza wana Bilele wote kwa kumsimika kamanda wa Kata .

No comments:

Post a Comment