Friday 17 October 2014

BI MAINDA KASSIMU AFUNGA PINGU ZA MAISHA NA BW JAMAL RASHID LEO 17-10-2014 KIBETA BUKOBA.

Ni Bw Jamal Rashid na Bi Mainda Kassim katika muonekano wa furaha ,muda mfupi baada ya kuwekeana mkataba wa ndoa,nyumbani kwao na Bi harusi Kibeta Bukoba.
Ni msafara ukielekea Kibeta kwenye ndoa.
Shekhe wa Mkoa wa Kagera Alhaji Haruna Kichwabuta akikaribishwa na Bw Jamal .
Bw Simba Mawenya akiwa na Bw Harusi Jamal Rashid (kulia).

Twende mie nina uzoefu maeneo haya....
Shekhe Haruna Kichwabuta akitoa nasaha za ndoa.
Bi Harusi akiulizwa kabla ya kufunga ndoa kama anamkubari bw Jamal Rashid amuoe.
Baadaya kukubari akasaini cheti cha ndoa.
Dada wa mama na baba mmoja.
Bw Bingwa
Bw Jamal akifungishwa Nikkah
Bw Jamal akisaini cheti cha ndoa.
Nawashukuru wazee wangu kwa kunipa mke.
Akimuombea mkewe dua.
Baba mzazi wa Bi harusi akimkabidhi mwanae cheti cha ndoa.
Mambo ya aakuli.
Salimu bonge na Gsmart wakiwajibika.
Maisara na Beaty katika pozz
Twende  mke wangu.
Usiku wa leo ni katika eneo hili.
Hongera dada yangu ,nami niombee niwe kama wewe nimpate anipendae kwa dhati.

No comments:

Post a Comment