Tuesday 14 October 2014

BREAKING NEWS!!! MABOMU NA RISASI YARINDIMA MANISPAA YA BUKOBA ,SWALI JE NGUVU ILIYOTUMIKA YA KOSA LA KUTOKUWA NA KOFIA AU KIOO ?

Tukio hilolimetokea saa12 jioni katikati ya mji wa Bukoba, ambapo inasemekana mwendesha pikipiki anaetambulika kwa jina la Kanyambo  amepigana na askari hao na kusababisha taaruki ambayo imewafanya polisi kupiga mabomu ya machozi na risasi kutawanaya wananchi waliofurika katika mji huo kushuudia vurugu hizo huku wakirusha mawe kuwapiga polisi.

Wananchi wakiwamo walinzi wa kampuni binafsi wakikimbia wakati polisi wakifyatua mabomu ya machozi.
Polisi wakizunguka katika barabara ya Kashozi kuendelea kufukuza wananchi waliokuwa wakishuudia

No comments:

Post a Comment