Wednesday 3 July 2013

HAPPYBIRTHDAY SOPHIA AMAD

 Watoto wako wapendwa Munilah na Abdulrahim wanakupongeza kwa kufikisha miaka kadhaa,lakini kikubwa zaidi jinsi ulivyowalea na  kukua na kujielewa na sasa wako masomoni
 wafanyakazi wenzako wa benki ya wakulima  kagera wanakutakia maisha marefu ya furaha na mafanikio
 familia ya mzee amad wa kamachumu  wote wanakupongeza kwa kufikisha miaka kadhaa
                     jamcobukoba.blogspot.com tunakutakia maisha mema na ufanisi katika kazi zako


1 comment:

  1. nashukuru sana kwa wote walionitakia kheri kwa siku hii ya upendeleo alionipa Mwenyezimungu nawashukuru sana wazazi wangu kwa malezi yao mema kwani kama sio wao nisingekuwa hivi nilivo sasa

    ReplyDelete