Ni banda la mukwano bidhaa kutoka nchini uganda zinapatikana
kweli sabasaba
tigo kama kawa
wadada mambo yenu yale yapo
viatu vimesheeni
nguo za kike na kiume zimesheeni
mzee antoni nae anatafuta bidhaa
sukari ni 1600 kwa kilo
vyombo
banda la bidhaa za movit kutoka uganda
watu wanapitapita
vunja bei mukwano
banda la azamu,juice bei zimepungua
dawa za asili kibao
adawa ya asili
viatu vya ngozi asilia
shanga za kila aina kuanzia za miguu,kichwani, masikioni, mikononi mpaka viunoni, usipime
hapa ni wine
huyu mama anauza bidhaa zinazotokana na ubuyu tu,mafuta ya kila aina
watu wametoka mpaka katikati ya tanzania
karibuni sabasaba kuna vitu vizuri
mama ailene akiangalia urembo wa asili
ni pita pita hku na kule
kamanda wa polisi mkoa kagera akiwa banda la kasibante redio
bayona nae camera yetu ilikutana nae viwanja vya sabasaba
watu wakikata tiketi kuingia ndani
ni sehemu ya nje kwenye maonyesho ya sabasaba watu wakiingia ndani kwa malipo
big up jamco kwa kutuhabarisha habari mbalimbali keep it up!
ReplyDelete