Monday 1 July 2013

RAIS BARRACK OBAMA NA FAMILIA YAKE WAWASILI JIJINI DAR ES SALAAM LEO HII NA KUPOKEWA NA UMATI WATU!


Barack Obama akipokewa na Wananchi wa  Tanzanian huku wanaband wakitumbuiza nyimbo mbalimbali kwenye uwanja wa Mwl.Julius Kambarage jijini Dar es Salaam leo hii mchana akitoka Africa kusini.


Rais Obama akipita kwenye kapeti jekundu huku akiwa na furaha na kucheza nyimbo za wabongo kwenye uwanja wa jijini Dar es salaam wa Mwl. Julius Kambarage mchana wa leo.

Karibu  Tanzania....karibu!!!

Ilikuwa ni patashika kwa wacheza ngoma hapa!!! Obama mpaka akaachia Tabasamu

Angalia Rais Obama akicheza nyimbo za hapa kwetu Bongo huku akiwa na furaha kwa mapokezi baada ya kukanyaga ardhi ya Tanzania leo hii mchana kwenye muda wa saa nane na dakika 37.U.S. President Barack Obama participates in an official arrival ceremony at Julius Nyerere Airport in Dar es Salaam, Tanzania, July 1, 2013. REUTERS-Jason ReedU.S. President Barack Obama walks with Tanzanian President Jakaya Kikwete during an official arrival ceremony at Julius Nyerere Airport in Dar es Salaam July 1, 2013. REUTERS-Jason Reed
Karibu Baba!!! Karibu Tanzania!

Ulinzi kila kona
Rais Barack Obama wa Marekani akiwa na mwenyeji wake Rais Jakaya Kikwete mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.




Rais na First Lady Obama wakisalimia wananchi wa Tanzanian baada ya kupokewa na Rais Jakaya Kikwete na First Lady Salma

Rais Barack Obama wa Marekani akiwa na mwenyeji wake Rais Jakaya Kikwete mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.

Rais Barack Obama wa Marekani akikagua gwaride la heshima wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo.

Rais Baracka Obama akiwapungia wakiangalia vikundi vya ngoma.


Ulinzi ulimarishwa.

Bendera ya Tanzania ikiwekwa katika gari lililombeba Rais wa Marekani, Barack Obama.

Gari alilopanda Rais Obama

Ni furaha hapa baada ya Rais Obama kutua Bongo, hapa anaonekana na mwenyeji wake rais Jakaya Kikwete wakipokewa kwa ngoma
Ni mimi jamani ...tupo pamoja!!

Karibu jamani ....jaribu mzee!!! Tunakupenda!!

Mapokezi haya!!! angalia mavazi!!

Rais Obama atakuwepo hapa nchini kuanzia leo Jumatatu tarehe 1 mpaka tarehe 2 kesho kabla ya kuondoka

Hapa ni wakati wapo Africa kusini wakipanda Air Force One Cape Town wakiwaaga wananchi nchini humo kabla ya kuja Bongo Tanzania leo mchana

Rais George W. Bush na mkewe pia wapo hapa nchini Tanzania na pia watajumuika pamoja na  Mr Obama Kesho.

 Mr Obama alipotembelea jengo la magereza ambapo  Nelson Mandela alifungwa kwa miaka kadhaa huko Africa kusini kwenye kisiwa cha  Robben Island

No comments:

Post a Comment