Sunday 30 June 2013

TAMASHA LA TIGO LA KABANG LAFANA LEO HII JUMAPILI NDANI YA CCM KIRUMBA MWANZA

Roma Mkatoliki akipagawisha mashabiki wake

Dj akikandamiza na kusababisha hapa vitu viende safiiii!!

Roma Mkatoliki akifoka foka!!..

akiwasha Moto CCM Kirumba

Umati wa watu wengi wamejitokeza katika uwanja wa CCM Kirumba kuwaunga mkono Tigo kupitia Kabang. Ikiwa ni njia ya kujenga uhusiano na wateja wao

Fid Q naye akiwapa raha wakazi wa Mwanza, na kabla ya kuanza alikaribishwa kwanza nyumbani ...kisha akalisanua mwanzo mwisho!!!
Wadau wakifatilia kwa makini Tamasha la Kabang!!

kazi kweli kweli...ukiambiwa ni Kabang ni full jiunge na tigo sasa!!!


Muda wa Nay wa Mitego ukafika nae akaanza kufoka foka kama kawaida yake!! Ki Hip Hop zaidi
Nay wa Mitego akiburudisha wapenzi wake wa Hip Hop!!

Kumpata Nay Vizuri abaki kifua wazi ndipo ataanza vyema Hip Hop, angalia sasa!!

Kama unanipenda nyoooosha mikono juu!! twende pamoja

Wasafi nao wakalipuka!!!



Ni kama Staili ya aina yake na ya kipekee sana kwa wasafi!!!













“Tunaamini kwamba tamasha hili litajenga mazingira mazuri yakufanya kampuni na wateja wetu kuelewana zaidi. Mwisho wa siku tunatarajia wateja wetu kujumuika nasi, kupata burudani yakutosha na kuelimishwa zaidi kuhusu huduma zetu mbali mbali zenye ubora na unafuu kama Mini Kabaang,” alisema Mpinga.

Q Boy Msafi nae alikuwepo CCM Kirumba akiwa pamoja na kikosi
Diamond Platinumz na kundi lake wakipagawisha umati wa watu wengi kwenye uwanja Huu wa CCM Kirumba kwenye Tamasha la Tigo la Kabang! Ambalo Bw. William Mpinga alisema kwamba lengo la tamasha hili ni kujenga mahusiano ya karibu na wateja wao kwa kutumia sanaa ya muziki kama njia ya kutangaza huduma za Tigo na bidhaa zake za vifurushi kwa wateja wengi zaidi.
Diamond Platinumz akiwasha moto kwa mashabiki wake leo

Diamond Platinumz katikati akiwa na kundi lake la wasafi wakitoa burudani
Mnanisoma ....Twende kazi sasa!!
Wasafi wakifanya vitu vyao!!




No comments:

Post a Comment