Ni miaka miwili sasa tangu baba yetu mpendwa ututoke unakumbukwa na mkeo mpenzi ma Alivera Athanas,wanao wapendwa Evelina deus,Pius Athanas,Adolfu Athanas na Edina Athanas
Tulikupenda sana baba ,ila mungu alikupenda zaidi
familia wakiwa katika ibada ya misa ya kumuombea marehemu Athanas mutashobya
kwaya ya kaibanja iliyoimba katika ibada,kwaya hii ilifadhiliwa na marehemu , nao hawakusita kueleza na kumkumbuka marehemu kwa sala
padre alieongoza misa
ndugu, jamaa na marafiki walioudhuria ibada ya misa ya kumkumbuka marehemu
watoto hawa mbali na majonzi yaliyokuwepo,pia watu walifurahia jinsi walivyokuwa wakicheza nyimbo za dini katika ibada
maji ya baraka,mishumaa na mashada ya maua yaliwekwa katika makaburi yote nyumbsani kwa marehemu Athanas mutashobya
ni majonzi
ndipo ukafika wakati wa kuweka maua ,mishumaa na maji ya baraka katika kaburi la marehemu Athanas mutashobya
tunakukumbuka mzee wetu
vilio vikatawala maeneo hayo
FAMILIA TUNAWAPA POLE,KAZI YA MUNGU HAINA MAKOSA APUMZIKE KWA AMANI MAREHEMU ATHANAS MUTASHOBYA,NI MIAKA MIWILI SASA
Baada ya misa ,ulifika wakati wa chakula
omuchele ngwanura bojo...
mama mwesiga nae alikuwepo,ni mama mdogo wa watoto wa marehemu Athanas
watu walikuwa wengi kutokana na mapenzi waliyonayo na familia
hii ndio nyumba ya milele kila mtu atalala humu siku moja
picha ya mama na watoto
jamcobukoba.blogspot.com tunawapa pole sana familia, kikubwa ni kumuombea mzee wetu na kuendeleza yale yote mema aliyoyapenda na kuyafanya hapa duniani
No comments:
Post a Comment