Monday 27 January 2014

SASA YAFUNGULIWA PERFECT HOTEL BUKOBA

 Ni Hotel mpya iliyojengwa na mzalendo wa mkoa wa Kagera,ni jambo la kujivunia sana, Hotel hii ipo maeneo ya Rwamishenye karibu na  Ofisi za Halmashauri ya wilaya Bukoba vijijini



 Sehemu ya lango kuu la kuingia ndani
 Mazingira ya Perfect Hotel yanavutia na ni mazuri
Parking ya kutosha ya magari na usalama wa kutosha
Ni Hotel iliyo kwenye kilima ,unapata upepo mwanana kutoka ziwa victoria

No comments:

Post a Comment