Thursday 30 January 2014

DIAMOND PLATINUMZ AFANYA SHOPPING YA KUFURU



 
Tanzania Top Singer Diamond Platinumz akiwa Nairobi ambako alikuwa kwenye shoo ya Safaricom’s Dealer of the Year Awards. Ambapo inasemekana alilipwa zaidi ya Kshs 2M ambayo ni zaidi ya hela aliyoiomba.
Wakati anarudi Tanzania akiwa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyata(JKIA)  alinunua vitu vya gharama kubwa kwenye duka la kitalii, ikiwemo "cologne"  na vitu vya samani vyenye gharama kubwa. 

Hapa ni baadhi ya picha:
Diamond akiangalia manukato

No comments:

Post a Comment