Mwenezi wa ccm Bukoba Mjini Ramadhani Kambuga akiendesha ratiba
Wa mama wa ccm
Katibu wa ccm Bukoba Mjini Janati Musa akimkaribisha mwenyekiti
Mwenyekiti wa ccm Bukoba Mjini Yusuf Ngaiza akieleza mafanikio ya ccm katika kipindi cha miaka 37
Bi Revina mkereketwa wa ccm
Mh Ashura
Msanii wa nyimbo za injili Hosea akiimba wimbo wa kuelezamatendo mema ya watu wema, hulipwa na mungu
Wasanii walikonga nyoyo za wananchi kutokana na ujumbe ulio kwenye nyimbo zao
Msani Shemela
Msanii BK Sande akiimba wimbo wake wa binadamu kinyongakinyonga
MH Mbunge akisikiliza kwa makini wimbo uliimbwa na msanii Shemela akishirikiana na BK Sande uliobeba ujumbe Kagasheki tenda wema nenda zako MALIPO NI KWA MUNGU, Ni wimbo uligusa sana nyoyo za watu.
Msanii Shemela akimpa mic mbunge aimbe kidogo
Mgeni rasmi Balozi Khamis Kagasheki ambae ni mbunge wa jimbo la bukoba mjini akihutubia wananchi katika ufunguzi,ameongelea mafanikio ya chama cha mapinduzi kwa kipindi cha miaka 37,maendeleo na kikubwa amewaomba wananchi kudumisjha upendo, mshikamano na kikubwa amani na utulivu katika taifa letu.
Wa mama wakimsikiliza mgeni rasmi katika ufunguzi
Mh Murungi
Mwandishi wa channel ten Bw Byabato akiwa kazini
Kilele cha maadhimisho haya ya miaka 37 ya ccm yatafanyika 5-2-2014 siku ya jumapili saa kuanzia saa nane mchana katika kata ya Kashai sokoni
No comments:
Post a Comment