Wednesday 29 January 2014

BUKOBA MANISPAA MAJANGA YAENDELEE,MAHAKAMA YASITISHA KIKAO CHA BARAZA LA MADIWANI LEO

 Hii ndio hali halisi tuliyoikuta katika jengo la Manispaa ya Bukoba hivi punde,Ni  baadhi ya madiwani wakitoka kwenye ofisi ya mkurugenzi,na majibu waliyopata ni kwamba kuna zuio la mahakama kufanyika kikao cha leo baada ya Diwani wa kata ya kahororo Chief Kalumuna kupeleka malalamiko mahakamani akipinga uhalali  wa madiwani wanane.
 Diwani wa kata ya Rwamishenye Dismas Rutagwerela akiongea na mkurugenzi wa vision Redio
 Pia baadhi ya wananchi walifika kusikiliza baraza la madiwani, ambalo halikufanyika
 Jitihada za kuonana na mkurugenzi ziligonga ukuta,baada ya kukuta foleni ya watu wengi waliohitaji kuingia ofisini kwake,na simu yake ilikuwa haipatikani
 Diwani Mukono akiwa na Diwani Ibrahimu Maburuki baada ya kikao kushindwa kufanyika
 Diwani Murungi kichwabuta akitoka kwenye ofisi ya mkurugenzi
Image

No comments:

Post a Comment