Monday 27 January 2014

MBUNGE WA JIMBO LA BUKOBA MJINI BALOZI KAGASHEKI WAELEZA WENYEVITI WA MITAA NA WAJUMBE WA CCM KUHAKIKISHA WANACHUKUA VITI VYOTE KATIKA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA MWAKA HUU

 Mbunge wa jimbo la Bukoba Mjini akiongea na wenyeviti wa mitaa na wajumbe kutoka katika kata zote za jimbo lake,Balozi Kagasheki  amewataka kuwa kitu kimoja na kuondoa tofauti zao ili kukivusha chama cha mapinduzi katika chaguzi za serikali za mitaa,amewaomba kuwaelimisha wanananchi juu ya taarifa za CAG kuhusu mgogolo uliokuwepo Manispaa ya Bukoba na kuwahaidi kuwa yote yaliyobainishwa katika taarifa hiyo yatafanyiwa kazi ili haki za wananchi zipatikane, kikubwa tunahitaji mshikamano na kuwa kitu kimoja na kusonga mbele.
Wenyeviti na wajumbe wa mitaa ya jimbo la Bukoba Mjini
Add captione
Robya akiteta na Mbunge
 Mama haki za watu,tutaulizwa siku moja,hapa si swala la mtu, ni swala la watu,kikubwa hapa ni mshikamano.
 Kikubwa hapa ni mshikamano na umoja tunasonga mbele
 Jamani sasa tunasonga mbele
 BaloziKagasheki akiteta na Bw Kamugisha wa kata Bakoba




No comments:

Post a Comment