Tuesday 28 January 2014

MAREHEMU ZULIATI SUED KAGASHEKI(MAMA SELEMANI) AZIKWA LEO MAKABURI YA KISHENGE BUKOBA

                                  Marehemu Zuliati Sued Kagasheki enzi ya ujana wake
 Mtoto mkubwa wa marehemu Selemani Sued Kagasheki
 Ni nyumbani kwa marehemu Rwamishenye kabla ya mazishi kisomo kikisomwa kuhitimisha msiba
 Kisomo cha kuhitimisha kikisomwa kabla ya mazishi
 Shekhe Haruna Kichwabuta akitoa mawaidha kwa walioudhuria kisomo
 Baada ya kuhitimisha watu walipata chakula
 Umoja wa wanawake wa Bandarini Bukoba wakimpa pole mlezi wao Balozi Kagasheki
 Mwili ukipelekwa msikitini
 MWILI UKISWALIWA
 Maandamano kuelekea makaburi ya kishenge
                                                             Innarilaa Riajihuun

No comments:

Post a Comment