Sunday 2 February 2014

MFANYABIASHARA TAJIRI WA MAREKANI JOE RICKETTS AZINDUA MAFUNZO YA KUTUMIA TABLETS JOSIAH GIRL'S HIGH SCHOOL BUKOBA

 Wimbo wa Taifa ukiimbwa kabla ya ufunguzi wa hafla ya kuanza kutumia Tablets kwa ajili ya masomo ya wanafunzi
 Bw Joseph Mushemba mmoja wa wageni waalikwa
 Mc akiendelea na utaratibu
 Mzee Elias Mashasi akiwa na Jamco
 Mzee Joel Byolwango akiwa na Jamco
 Wageni waalikwa
 Waalimu wa Josiah Girl's High School
 Mkuu wa shule akitoa neno kwa niaba ya uongozi wa shule na wanafunzi
 Wanafunzi wakicheza ngoma
 Waandishi wa Habari kutoka Marekani walioambatana na Bw Joe Ricketts
 Mfanyabiashara tajiri nchini Marekani Joe Ricktts anaefadhili mradi huu wa Tablets katika shule za msingi 378 na shule za sekondari 33 Nchini Tanzania ikiwemo na JosiahGirl's High School
 Bw JOE akimkabidhi mkuu wa shule ya Josiah Girl's High School Tablet kwa ajili ya kufundishia wanafunzi
 Mwanafunzi akipokea Tablet itakomwezesha kujifunz masomo yote ambayo yamewekwa kwa kuzingatia mitaala ya wizara ya Elimu Tanzania
 Mzee Joel Byolwango akipokee cheti maalum kama shukrani kama muasisi wa Josiah Girl's High School
 Uongozi wa JosiahGirl's High School ulitoa zawadi ya picha iliyochorwa kwenye gome la mti yenye sura ya Bw Joe Ricketts kwa kudhamini na kutambua mchango wake katika kufadhili shule yao
 Wanafunzi wakiwa na Tablets na vifaa vyake
 Wanafunzi wakiwa katika Igizo
 Kundi la shule kwa ajili ya burudani
 Chezee Josiah Girl's weweee
 Muonekano wa Tablets zilivyopangwa katika chumba maalumu
 Ongereni sana Josiah Girl's High School kwa kuanza kutumia teknologia ya Tablets katika kujifunza masoma darasani

No comments:

Post a Comment