Thursday 6 February 2014

CAMERA YETU MITAA TOFAUTI LEO BUKOBA

 Camera yetu ofisi za precision Air nakutana na mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya Valentine  Mr Bube (Mkurugenzi wa Leoleo) itakayofanyika ukumbi wa lina's ijumaa ya tarehe 14-2-2014 akimpa mpango mzima Bi Sara mambo yatakavyokuwa tofauti na siku zote,hakika safari hii upele umepata mkunaji wahi tiketi yako mapema kwa 30,000 elfu, utapata chakula, vinywaji, na zawadi ,bila kusahau mipangilio iliyoandaliwa vizuri
 Chezeee  weweee
 Binti kwa raha zake
 wanaitwa mabalozi wa voda, mmoja kajificha,tunapataje maelezo yake wakati camera tu kaikimbia, watu wakitaka kujua maeleza na kazi anazofanya inakuaje?
 Heshima ya mtu kazi,mwanamke kuwajibika
 Nkango utawapata
 Mtaalamu wa Supu
 Na mtoto jamani awemo.... Ni mtu mmoja anaitwa Masauti
 Kijana akiwajibika
 Camera yetu inakutana na kijana mtaalamu wa kusuka nywele za akina mama akiwajibika
 Ujihita  handsome Boy wa Bukoba,maarufu wa kuuza Dvd,Cd za filamu mbalimbali akiwa kazini
 Wauzaji wa vifaa vya ndani,wapo Miembeni
 Mitaa ya miembeni
 Kijana akiwajibika
 Mh Kagasheki akimjulia hali Bi Amina Sued katika hospital ya St Tereza
 Mh Kagasheki akimjulia hali mmoja wa wagonjwa katika Hospital ya St Tereza
 Bw Sande konyagi akijulia hali wagonjwa
Ni katika Hospital ya Bugimbi ,kijana kushoto anaitwa Jerry, Ernest na bwana harusi mtarajiwa Wilson wakijulia hali wagonjwa, je wewe utaratibu huu unao?

No comments:

Post a Comment