Thursday 14 August 2014

WASANII WATUA BUKOBA TAYARI KWA UFUNGUZI WA FIESTA 2014 KESHO IJUMAA


Msanii OMMY DIMPOZ na wenzake wakishuka kwenye Ndege aina ya Precision leo asubuhi kwenye Uwanja wa Ndege Mjini Bukoba tayari kwa kukamua vilivyo katika mwendelezo wa Msimu wa Dhahabu na Serengeti Fiesta, Tamasha linalotarajiwa kufanyika kesho Ijumaa kwenye uwanja wa Kaitaba hapa Bukoba.
Wasanii hao pamoja na watangazaji na wafanyakazi wengine wameingiatayari Bukoba wakitokea jijini Mwanza.

Wasanii wakishuka kwenye Ndege tayari kwa Fiesta kesho Ijumaa.

Chistian Bella huyoo langoni mwa Pipa.
 Salaam za Bella kwa ardhi ya Bk.

Christian Bella akikaribishwa na Mwenyekiti wa kamati ya jukwaa la wasanii Hamza.

Dj Ziro langoni mwa ndege akiwa na mwanadada mtangazaji wa Clouds Tv Shadee mbele.

Karibu bhana.

Msanii wa Bongoflava Jux.

Ney wa Mitego.

Barnaba.

Barnaba mbele akifuatiwa na Madee na Fiesta Crew.
Willy Kiroyera (kushoto, akiteta jambo na Ruge Mutahaba kwenye Uwanja wa Ndege leo Asubuhi

Katika Picha ya Pamoja
wakiteta jambo na kuoneshana kitu kwenye Simu
Jux na Stamina
Tupo tayari kwa Fiesta 2014 Bukoba
Tayarikwa Makamuzi ya Fiesta 2014 hapo Kesho Ijumaa, Kutoka kushoto ni B12, Ommy Dimpoz, Hamza, Barnaba na Dj Zero.

Fiesta 2014 Mjini Bukoba itakuwa balaa!! Wasanii wakitokelezea huku wakishoo lavu tayari kwa  Fiesta kesho.
Linah akiwa kwenye picha ya pamoja na wenzake

Muziki ni sehemu yetu ya Maisha

Ommy Dimpoz kwenye tabasamu la nguvu baada ya kutua Bukoba

32 yote papp!!! Ommy

Barnaba akipeana Hi na Dj Fetty
Mr. Blue nae ndani!
Wakipeana habari za hapa na pale
Willy O. Ruta akiwa na Bw. Ruge MutahabaNikiwa na Dj Fetty

No comments:

Post a Comment