Monday 11 August 2014

WABABE WA KAGASHEKI CUP 2014 WATEMBEZA KOMBE MAENEO MBALIMBALI YA KATA ZA MANISPAA YA BUKOBA NA KULIKABIDHI KOMBE KWENYE OFISI YA KATA YA MIEMBENI

 Ni Mh Diwani wa kata ya Membeni Rchard Gaspar aliekuwa akiendesha gari kwa staili yake kwenye mitaa mbalimbali ya Manispaa ya Bukoba kutembeza kombe la Kagasheki cup 2014 lililochukuliwa na Timu ya Kata ya Miembeni na kujinyakuliwa kitita cha milioni tano zilizotolewa na  Mh Balozi Khamis Kagasheki, mashindano ya Kagasheki cup 2014 alifikia kilele takribani wiki moja iliyopita yaliyogharimu milioni  35 zikiwa ni maandalizi na zawadi zilizotolewa na Mh mbunge Balozi Kagasheki.
 Ni nje ya Jamcoberbar shop yalipoanzia maandamano ya kuzungusha kombe
 Mitaani
 Maeneo ya nyamkazi
 NYAMKAZI PALIKUWA HAPATOSHI  MWALONI
 MITAA YA KATA YA BAKOBA
 mitaa ya kitendaguro
 Ilikuwa noma
 Kijana Kamala
 Mh Diwani
 Watu kwa mapenzi yao mtaani waliwatunuku wachezaji kwa kuwapa noti nyekundu
 Kijana mubago
 Watendaji wa kata wakifurahia kombe
 Kijana Cvion mdau wa miembeni
 Wachezaji wakiwa pande za kitendaguro uso kwa uso na mdhamini wa mashindano Balozi Kagasheki akiwa Nyumbani kwake Kitendaguro
 Wachezaji wakapata fursa ya kupiga nae picha na wapenzi wa Miembeni
 Ilikuwa nzuri sana bila kutegemea tunakutana na mdhamini wa mashindano
 SAFARI IKAENDELEA
 Pande za Coffee  Tree Hotel wafanyakazi wakapiga picha na kombe
 Moddy mgwao miembeni daima,
  kwenye uwanja wa CCM  MTAA WA Jamuhuri miembeni kukabidhi kombe kwa uiongozi wa Kata Miembeni
 Mwenyekiti kamati ya hafra fupi ya kukabidhi kombe Jamal Kalumuna Jamco akatoa neno na kumkaribisha  Mwalimu wa timu akabidhi kombe
 Wachezaji wakiwa tayari kukabidhi kombe
 Mh Diwani kata ya Miembeni Richard Gaspar akakabidhiwa kombe na Kapteni wa Timu
 Badae viwanja vya Lina's kup[ata chakula cha pamoja
 Rahim Kabyemera mdau mkubwa na mfadhili wa timu ya Membeni miaka yote akijumuika chakula cha jioni na wachezaji kuwapongeza
 Mashabiki nguri
 Wachezaji ndani ya Lina's
 Wazee na viongozi wa Kata ya Miembeni wakipata chakula
 Mpambanaji Mwinyi kagera sugar roho ya timu ya Miembeni
 Utaipenda Miembeni
 Walimu wa timu wakipata chakula kwenye hafla fupi ya kuwapongeza iliyofanyika Lina's
Full shangwe kwa wapenzi wa Miembeni

No comments:

Post a Comment