Thursday 7 August 2014

IRENE . N. KAYUNGA AFANYIWA KITCHEN PARTY(MJUBURO) AFUNDWA KUISHI NA MUME

 Bi Irene . N .  Kayunga hakika alipendeza sana.
 Ongera Irene 
 Mama Kayunga akikaribisha wageni katika ukumbi wa Lina's.
 Wamama wakiserebuka.
 Mama mwenye shughuri
 Taarabu kwa kwenda mbele
 Mama mkude, hapana chezee
 Dada Lily na Mama Vyombo
 WAKIMWAGA RADHIIII
 Mama Bingwa akiwa  na  Revina pendeza sana
 Zubeda akiwa Anneth(Bora) walitokelezea
 Wapambe wakiingia ukumbini
 Bi harusi mtarajiwa akiingia ukumbini
 Irene akitabasamu kwa fura

Irene akiwa  na Mama yake mzazi
Mama Mkwe nae akiserebuka
Mama Simeo mtaalamu wa keki
Keki ikiombewa
 Irene katika pozz
 Karibu keke mama yangu mpendwa
 Karibu keki mama mkwe
 Pokea keki mama
 Wamama walipendeza
 pozz za picha
 Wadad waliomsindikiza Irene
 Kula mjanja wa mjini alikuwemo, hapana chezeaa mama kayunga weweee
 Wadada walipendeza mbaya
 Mama Ruby akiwa na swaiba wake Hawa Hassan
 NI NAMNA WATU WALIVYOPENDEZA KATIKA POZZ TOFAUTI.
 Wamama walitokelezea
 Mama akipewa zawadi
 Maarufu kama mama vyombo ndio alihusika na swala zima la kupanga na kuandaa eneo hili, Big up mama vyombo, kazi yako ilikuwa pevu.
 ASANTEEE MAMA
 Upande wa vyombo mama kayunga alifanya kweli
 Kwa upande wa mavazi  nao mama alimpa zawadi za kutosha
 Mwanangu hizi ni zawadi zako
 Hii zawadi ya mumeo
 Nani kama mama, Nakushukuru mama kwa kunizaa, kunilea , kunisomesha na sasa naanza maisha yangu, asante mama.
 Mama akitoa machozi ya furaha
 Mama kayunga akimkabidhi mwanae vifaa vya jikoni na ndani
 Mwanamke kupika, mwanamke usafi , mwanamke mazingira na mwanamke shughuri akiwa chumbani.
 Zawadi ya mama mkwe(Mrs Baruti)
 Bi harusi mtarajiwa akimpa mama mkwe zawadi ya kitenge
 Mama Amina maarufu Mrs Bingwa akikabidhi zawadi za wanaumoja wa mama Kayunga kwa Bi harusi mtarajiwa.
 Mama Irene akiwa na furaha iliyopitiliza akiwashukuru wa mama walivyojitoa kufanikisha shughuri ya mwanae.
 Ikafika wakati Irene akawashukuru wazazi,wamama na wadada wote kwa namna walivyofanikisha  Kitchen yake.
Watu wakaserebuka mbayaaa

No comments:

Post a Comment