Miss Redd's Kagera 2014 Jackline Kimambo kwenye pozi ya picha baada ya Kutangazwa Mshindi usiku wa kuamkia leoMshindi wa Miss Redd's mwaka 2012 Babylove Kalala ndie aliyemvalisha Taji Miss Redd's Kagera 2014
Jackline Kimambo(katikati) Mshindi wa Redd's Miss Kagera 2014, kulia ni mshindi wa pili Nyangi Warioba na (kushoto) ni Faudhia Haruna kwenye picha ya pamoja.
Warembo wakitoa Burudani ya Ufunguzi
Sharobaro Wakihaya kutoka kundi la Futuhi la (Star Tv) akipagawisha Wahaya wenzake katika Usiku wa Redd's Miss Kagera 2014
Ilikuwa Balaa sana!! Tajiri wa Kigoma nae alikuwepo!
Kwa kuchekeshaa tuu!! Huu ndio mtambo wa kuchomoa mbavu na kuanika 32 nje!!
Vazi la Ufukweni

Mshiriki Miss Redd's Kagera 2014 Tete Augustine
Warembo wakionesha Vazi
Chief Judge alimtangaza Miss Redd's Talent 2014 Jackline Kimambo na kuvishwa taji!
Miss Redd's Talent 2014, Jackline akiwa kwenye hali ya kushangaa baada ya kutajwa!
Warembo wa Miss Redd's Kagera 2014 waliobahatika kuingia Tano Bora-"Top 5"
Wakina Dada wa Kundi la Dreams Girls kutoka Nchini Uganda walikuwepo kutoa Burudani nao
Kundi hili linataba sana na nyimbo mablimbali zikiwemo za Wine, Weekiend, Dance overnight, Wandekangawo na nyingine kibao.
Hatari lakini salama!
Kibao cha jigy jigy kikishambuliwa na wenyewe jukwaani!!
Wadau wa Miss redd's wakichukua na Kumbukumbu na wengine furaha zipo 120, Vunjika mbavu!! Kutoka kwa Mwanahutuhi!
Walioshindwa kujizuia waliwafuata jukwaani!! Dreams Girls na Mashabiki wao wakifanya yao stejini
Hakika Dreamz Girls walishusha Burudani ya nguvu
Unaweza ukajizuia kuona hata kucheka!!
Macho yoote ylikuwa mbele!
Junior Mwemezi akichukua kumbukumbu za Video kwenye Ukumbi wa Lina's Night Club, Usiku wa Redd's Miss Kagera 2014.
Picha ya Pamoja na Mgeni Rasmi (kushoto) Bw. Amimu Kangezi-Mwenezi wa Chama cha mapinduzi Mkoa Kagera.
No comments:
Post a Comment