Wednesday 6 August 2014

AJALI YA TIPA LA KUBEBA MATOFARI MAENEO YA KAGONDO (KWA WACHINA) BARABARA YA MUTUKULA

 Gari lenye namba za usajiri T 296 ANB limepata ajari  maeneo ya kata ya kagondo barabara ya Mutukula eneo la maarufu kwa Wachina.Gari hili lilikuwa limebeba matofari.Chanzo cha ajari hii kwa mujibu  wa walioshuhudia ajari wanadai ni mwendo kasi uliosababisha kuferi kwa breki nas mvua ilikuwa kubwa ikinyesha na kusababisha ajari. Hakuna aliepoteza maisha.
 Jitihada za kulivuta na kuliinua zikifanyika


 Askari wa usalama barabarani akiwa eneo la tukio
 Tipa  hili lilikuwa limebeba matofari
Jitihada za kuinua gari zikifanyika

No comments:

Post a Comment