Sunday 8 September 2013

USIKU WA SAIDA KALOLI NDANI YA LINA'S,KILA MMOJA NA STAILI YAKE

 Full shangwe na tabasamu kibao ,wadau mbalimbali wakiangalia show ya saida
 bwana bushira akiwa na mdau mkubwa jovither mushashu anaeishi ujerumani ambae amekuja kwa mapumziko mafupi
 saida kaloli akiwa jukwaani,ambae mapema kabla ya show, wakiwa kwenye matangazo ya barabarani gari lao lilipata ajari na kusababisha baathiya wasanii kuumia na kushindwa kushiriki show ya saida

                                                         kila mmoja kwa staili yake
                                                             hapo vipi,yataka moyo wadau....
                                            mohamed kikwemu akionyesha uwezo wake

                               bw basibira akiwa na chupa yake ya tusker alishindwa kujizuia
 bw basibira anakuwa na wakati mgumu sana wakati wa show, maana ujitahidi sana kufanya kama bosi wake ben mulokozi,rafiki zake wapendwa ben kataruga,james kabakama, Erick barongo, mh Gozbert matambula,ndugu focus  Rutinwa na wengine.
                                                              ni ngoma kwa kwenda mbele
                       bwana basibira akionyesha utaalamu wake katika swala zima la kucheza ngoma
                                        bw kazimato akiwa na mkewe patricia wakiangalia show
 kabla ya show saida alinusurika katika ajali ,na hili gari la kampuni kiroyera tour ndio alikuwa amepanda  lilipata ajali maeneo ya kashura baada ya kufeil brake,msanii papaa kishaju aliumia sana na kulazwa katika hospitali ya mkoa wa kagera na hakuweza kushiriki show
                                                     enndelee kuangalia jamcobukoba.blogspot.com

No comments:

Post a Comment