Kanal Fabian massawe akieleza mbele ya waandishi wa habari kuanza kwa operesheni ya kuondoa wahamiaji haramu na wanaomiliki siraha kinyume na sheria.
kanal massawe akiwa na kiongozi wa operesheni hiyo simon sirro ambae pia ni kamanda wa polisi mkoa wa mwanza,kamanda sirro amewataka wananchi wote kutoa ushirikiano katika zoezi zima ambalo amesema halina mwisho mpaka hapo watakaporidhika kuwa kilichokusudiwa kimekamilika
opereshani hii inashirikisha jeshi la polisi ,jeshi la wananchi na uhamiaji
baadhi ya maafisa wa jeshi la police mkoa wa kagera
waandishi wakiwa katika kazi ya kuandika kile kinachozungumzwa ili kuandika habari za kweli
waandishi wa kalamu ,picha za mnato na picha za kutembea wakichukua matukio yote
kanal Fabian massawe ameseme zoezi hili litazingatia haki za binadamu, za kimataifa ili kuondoa hali ya uonevu ,ameeleza wapo wanawake ambao wameolewa na wazawa ambao mwanzoni waliamuriwa waondoke nchini,ameseme ipo sheria na utaratibu unaofanyika ili waendelee na ndoa zao hapa nchini,na amewataka wote waliokuwa wameondoka warudi na kufuata utaratibu waweze kupewa kibali
waandishi wakiwabusy
akieleza haki kutendeka katika operesheni hii tofauti na zile zilizowahi kufanyika huko nyuma,ambazo baadhi ya viongozi walitumia nafasi zao kujitajirisha na kudhurumu mali za watu,kipindi hiki hali hiyo haitajitokeza hata kidogo, maana hii ni agizo la rais hivyo hakuna mchezo
No comments:
Post a Comment