Saturday 19 July 2014

HAPPY BIRTHDAY ELLYNE MUNYAMUNYA MAKOKO ATIMIZA MWAKA MMOJA,HONGERA ZAKO

 Ni mtoto Ellyne Munyamunya Makoko ni moja ya tabasamu alillolitoa wakati akipingwa picha katika hafla fupi ya kumpongeza kutimiza mwaka mmoja wa kuzaliwa, Hafla fupi ilifanyika nyumbani Majengo mapya Bukoba.
 Pozz tofauti
 Bonge la keki iliyoandaliwa kwa ajiri ya wageni waalikwa kusherekea siku ya mtoto kuzaliwa. Keki hii imetengenezwa na mtaalamu wa keke anatambulika kwa jina la Mama Simeo wa Rwamishenye Bukoba
 Hapana chezea yeye
 Mama Mtoto Hope Makoko  a.k.a Chadeliva akiwa na Mwanae
 Ni vitu vichache tu nakuonysha upande wa maakuli yaliyoandaliwa
 CHIEF COOKER Lily Tigo akiwa na Maua daftari na mama Mtoto wakiwa mitamboni
 Wa kwanza kulia ni Mama Simeo,Dada Revina na Mama Kayunga
 Jack a.k.a.... akiwa na Devota Jinz katika mwonekano wa miwani za mwezini
 Kuanzia Kushoto Jamila , Rehema na Devota
 Mtu na  Matron wake
 Muonekano wa meza
 Chakula time
 Unakula upendacho
 Jane veva na mmarekani wake
HAYA NDIO MATUNDA YETU
 Ni miongoni mwa pozz chache alizotoa katika siku yake ya kuzaliwa
 Piga Makofiiiiiii
 Babu wa Munyamunya Mzee Kasimbazi na mjukuu
 Chantee mwanangu
 Chantee mjukuu
 Chanteee,dah kumbe unaweza
 Wakati wa kusubiri kulishwa keki
 Chantee chadeliva mdogo
 Kaka Sande nae zamu ikafika
 Marron kula keki nasikia ulimsimamia mama vizuri
 Chui na Landon yeye na biliani
 Zawadi time..
 Maua Dafrari
 Jack akitoa zawadi ya mtoto
 Hii baiskeri unaanza nayo, badae pikipiki, na utaishia vog
 Mtoto wa mwaka mmoja akainyonga bike.
 Zawadi kutoka kwa Kaka Mkubwa Ernest,Kaka Sande Konyagi na Matron Lilian Tigo
Jamcobukoba.blogspot tunakutakia maisha marefu  mtoto  Ellyne Munyamunya Makoko

No comments:

Post a Comment