Friday 18 July 2014

CAMERA YETU LEO 18- 7- 2014 NDANI YA JAMCO BARBER SHOP KIJANA MCHESHI NA MTANASHATI DICKSON ISHENGOMA AKIPENDEZA KUELEKEA KANISANI KUFUNGA PINGU ZA MAISHA

 Ni Ijumaa ya tarehe 18-7-2014 Kijana makini,mstaarabu, mcheshi Dickson I shengoma (katikati kwenye picha) akiwa katika saloon ya Jamcobarber shop akiwa na pacha wake wa kwanza (kushoto) na rafiki kipenzi  muda mchache kabra ya kuelekea kanisa  Katoliki la Cathedral Bukoba kufunga pingu za maisha na   Rose Mbabazi.
 Wapambe wakivaa baada ya kung'arishwa katika  saloon ya Jamcobaeber shop
 Jamcobarber shop inatoa huduma special kwa maharusi na wapambe wake kwa gharama nafuu
 Huu ndio mkoko uliomfuata Kijana Dickson nje ya Jamcobarber shop
 Bw Dickson akiwa na pacha wake ambae leo ndio patron wake
 Ni kuelekea kula kiapo
 Bw Denis kaishapendeza anaelekea church
 Wametokelezea vijana
 Kijana leo anafunguliwa mlango wa gari ,hapana chezea yeye
 Kijana anaenda kukabidhiwa majukumu, Ndoa habari nyingineeee
 Hi ndio safu nzima ya walinzi wa Dickson kwa siku ya leo

Jamcobukoba.blogspot.com tunawatakia kila rakheri katika makubaliano yenu huko kanisani, badae tutawaletea kilichojiri kanisani na badae katika kumbi la maraha Lina's

No comments:

Post a Comment