Thursday 1 May 2014

JE UMESHAJIUNGA JINSI YA KUJIHUDUMIA HUDUMA ZA KIBENKI ZA NMB,MKAZI WA BUKOBA UNASUBIRI NINI?

 U NASUBIRI NINI JIUNGE SASA

 Meneja wa tawi la Bukoba Bw Mushobozi akiwaelezea wateja umuhimu wa  kujiunga katika kupata huduma za kibenki,na unaweza kutoa pesa kwenye account yako kwa kutumia simu yako ya mkononi na kuchukua pesa popote ulipo kwa Mpesa, Tigo pesa NK.
 Tabasamu kwa wateja NMB ni wajibu wao
 Bi Suzan Mfinanga akiongea na mteja
 Bi Agnes Moses akimuelekeza mteja namna ya kujiunga
 Mwanangu hata pesheni naweza kuona ikiingia nikiwa kwetu kisiwani Gozibar,  M zee bila shaka NMB  ni kila mahala hata ukiwa usingizini  ukiamka utaona.
 SOMA HAPO......

 Mteja anachohitaji ni kumjari na kumthamini
 Bi Irene Shumbusho (Brand Ambassador akimuelekeza mteja namna ya kupata huduma za kibenki kwa kutumia simu yake ya mkono
 Wafanyakazi wa NMB tawi la Bukoba katika mwonekano wa furaha kuwahudumia wateja
 Meneja wa tawi la Bukoba Bw Mushobozi akimuelekeza kitu mteja
Kwa nini utumie muda mwingi kupanga foleni na kuchelewa shughuli zako,tumia huduma za NMB MOBILE

No comments:

Post a Comment