Wednesday 30 April 2014

CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA MKOA WA KAGERA KCU(1990 LTD) CHAFANYA MKUTANO MKUU WA MIZANIA 2012 /2013/

Meneja mkuu wa KCU Vedasto Ngaiza akiwakaribisha wajumbe wa mkutano mkuu wa mizania na kumkaribisha mwenyekiti wa bodi kufungua mkutano.
Mwenyekiti wa bodi ya KCU (1990 LTD) Bw John Binunshu akifungua mkutano
Makamu mwenyekiti wa bodi ya KCU Bw Ngalinda akisalimiana na wajumbe
Mjumbe wa bodi mama Muhazi akisalimia wajumbe wa mkutano
Bw Frank mjumbe wa mkutano mkuu kutokea chama cha msingi Maruku
Mjumbe akichangia baadhi ya maswala muhimu
Mjumbe kutokea Ibwera Bw Sadru Nyangasa akichangia maswala ya kuimarisha ushirika
Mkaguzi wa mahesabu kutoka Coasco akisoma mahesabu ya mizania yaliyokaguliwa na Coasco
Wanahabari wakifuatilia kwa umakini
Muonekano wa mkao katika ukumbi wa Bukoba Coop zamani uliitwa ukumbi wa Yasira Hotel
Watendaji wa KCU
Bw Kanjagaire wa kwanza kulia  meneja kitengo cha kuuza kahawa nje kilichoko Moshi
Wajumbe wakipata chakula baada ya mkutano mkuu wa Mizani

No comments:

Post a Comment