Wednesday 30 April 2014

KWA WALE WENYE MWALIKO WA BIRTHDAY PARTY YA KARNE YA MALKIA WA BW SIMBA MAWENYA

Bw Abdulrahim Simba Mawenya  anapenda kuwakaribisha wageni wote mliopata mwaliko wa sherehe ya kuzaliwa ya malkia wake Raazizi mpenzi mke wake Bi Rukia Mawenya tarehe 2-5-2014 katika ukumbi wa Lina's ndani ya paa jipya kuanzia saa 1.00 jioni.KAULI MBIU NI  KUPENDEZA, KULA, KUNYWA NA KUCHEZA. Karibuni sana.

No comments:

Post a Comment