Wednesday 30 April 2014

KUMEKUCHA BUKOBA,MAANDALIZI YA UZINDUZI WA MBIO ZA MWENGE KITAIFA 2-5-2014 YAKAMILIKA,WANAFUNZI WA ALAIKI WAPEWA SARE,KOFIA, VIATU NA MYAMVULI

 Kama ulikuwa una muda umeingia katika Uwanja wa Kaitaba ,ni tofauti sana na ulivyo sasa, Wahenga walinena kufa kufaana hakika haya maneno yametimia kwa vitendo katika uwanja wa Kaitaba. Ujio na uzinduzi wa mbio za mwenge Kitaifa katika Mkoa Wa Kagera hakika umeleta faraja kwa uwanja kufanyiwa ukarabati wa hali ya juu kama unavyoonekana.
 Kushoto ni Mhandisi Stephen wa Manispaa ya Bukoba akifuatilia kwa karibu maendeleo ya maandalizi katika uwanja wa Kaitaba
 Vijana kazini...
 Ulinzi na usalama unaimarishwa kadri siku zinavyozidi kusogea
 Jukwaa kuu
 Gari likishusha vifaa vya wanafunzi wa Alaiki
 Hiyo ndio kaitaba
 Kaitaba kwa mbali
 Tunajitahidi kuangaika kupata picha nzuri ili uweze kutofautisha ulivyokuwa na sasa,kupata picha za hivi si rahisi kama unavyotazama kirahisi, akili, kutulia na uwezo wa camera ndio unapata kitu kkwa mbali si kila camera inaweza.
 Sare zote zikiwa na nembo ya NMB
 Wanafunzi wakiwa wameshavaa sare zao
 Hali imebadilika sana katika uwanja wa kaitaba panavutia na kupendeza
 Teacher akiwajibika
 Kushoto ni Mama Adventina Matungwa mkurugenzi wa makampuni  na mahoteli ya Walkgard ambao watapamba uwanja wote wa Kaitaba na kuonekana katika rangi za Taifa na hiyo kazi inaendelea
 Mwanafunzi akijaribu viatu vyake
 Mmoja ya wakufunzi wa Alaiki akichambua viatu kwa ajili ya watoto wa Alaiki
Hakika vijana wameiva sawasawa,na wako tayari kuonyesha umaili wao 2-5-2014 katika uwanja wa kaitaba

No comments:

Post a Comment