Friday, 2 May 2014

MAKAMU WA RAIS DKT MOHAMMED GHARIB BILAL AZINDUA MBIO ZA MWENGE KITAIFA KAGERA, MANISPAA YA BUKOBA

 Makamu wa Rais Dkt Mohammed Gharibu Bilali amezindua mbio za mwenge wa Uhuru katika mkoa wa kagera.Makamu wa Rais amewataka wananchi kuulinda muungano na kuwapuuza wale wachache wanaotaka uvunjike,pia amewataka wananchi kudumisha amani na utulivu kuhakikisha wanaondokana na maovu,pia amekemea vikali kuondoka na swala la utumiaji wa madawa ya kulevya, Rushwa na kuondokana na anasa zinazoweza kusababisha maambukizi ya ukimwi.
 Mwonekano wa jukwaa kuu
 Mh Mbunge Muleba Kusini  Mwijage
 Viongozi na wakuu wa wilaya kutoka maeneo tofauti
 MH Mbunge wa jimbo la Bukoba Mjini Balozi Khamis Kagasheki akiwa na Jumanne Bingw wakiingia uwanjani
 Kulia Mwenyekiti wa Ccm Bukoba Mjini Yusuf Ngaiza akiwa  Makamu Meya akiwa amevaa mkufu wa Alexanda Ngalinda
 Bw Mulokozi aliemwakilisha Profesa Anna Tbaijuka Waziri wa Ardhi Nyumba na Makazi
 Wakuu wa wilaya,Kanal Mstaafu Issa Njiku
 Wakuu wa Wilaya Bukombe  na Masumbwe Kahama
 Baba Askofu Methodius Kilain akiwa na Mchungaji Bililiza wa ANGALIKANA
 Baba Paroko Jimbo la Bukoba
 Bw Shabani Kisu wa TBC akiendesha ratiba
 Makamu wa Rais na Mkewe wakiingia uwanjani
 Wanafunzi wa Alaiki
 Walimu wa Alaiki
 Bw Mushobozi Meneja NMB Tawi la Bukoba
 BW Chakindo meneja msaidizi Tanroad Mkoa wa Kagera
 Meneja Benki ya Posta Kagera
 Mkuu wa Mkoa wa Kagera Kanal Mstaafu Fabian Massawe akitambulisha wageni mbalimbali na kusoma Hotuba ya mkoa wa kagera
 Mwenyekiti wa CCM  Mkoa  Costancia Buhiye akisalimia wananchi
 Waziri wa Habari, Vijana na Michezo MH Fennella Mukangara akisoma Hotuba ya Wizara
 Wakimbiza mwenge kitaifa wakitambulishwa rasmi
 Makamu wa Rais Dkt Mohammed Gharib Bilal akihutubia Taifa kufuatia uzinduzi wa mbio za mwenge
 Makamu wa Rais akiwasha Mwenge
 Kiongozi wa mbio za mwenge kitaifa Rachel Kasanda akimkabidhi mwenge Mkuu wa Mkoa wa Kagera ili ukimbizwe wilaya zote za Mkoa
 Mkuu wa Mkoa akimkabidhi mwenge Mkuu wa Wilaya ya Bukoba Zippola Pangani akimbize mwenge Manispaa ya Bukoba
 Umati mkubwa wa watu ulijitokeza
 Mabroger
 WAANDISHI  WAKIWA KAZINI
 Mwenge wa uhuru umeanza kukimbizwa kwenye Msnispaa ya Bukoba,  utazindua miradi mbalimbali kwa ajili ya maendeleo ya wananchi

No comments:

Post a Comment