Thursday 1 May 2014

MAKAMU WA RAIS DK GHARIBU BILALI AWASILI BUKOBA LEO KWA AJILI YA UZINDUZI WA MBIO ZA MWENGE KITAIFA 2-5-2014

 Makamu wa Rais Dk Gharibu Bilali amewasili katika Manispaa ya Bukoba kwa ajili ya uzinduzi wa mbio za mwenge Kitaifa.
 DAS wa Bukoba (kushoto) Bw Ndyamukama akiwa na meneja wa uwanja wa ndege wa Bukoba
 Mh Mbunge wa jimbo la Bukoba mjini akiwa na Naibu Meya wa Manispaa ya Bukoba wakiwa uwanja wa ndege kumpokea makamu wa Rais
 Mh Diwan Murungi Kchwabuta akisalimiana  na MH  Amina saidi Mkurugenzi wa sensa nchini
 Bw Richard akiwa uwanja wa ndege
 Kulia na Mkuu wa Wilaya ya Bukoba Zippola Pangani
 MH Khamis Kagasheki akiteta kitu na Mkuu wa Mkoa wa Kagera Kanal Mstaafu Fabian Massawe
 Ndege ikiwasili
 MH kAGASHEKI AKIWA NA Mwenyekiti wa ccm mkoa wa Kagera Costancia Buhiye
 Karibu mkuu
 Makamu wa Rais akivishwa Skafu

 Makamu wa Rais akisalimiana na Baba ASKOFU WA KANISA LA AUTHODOX
 Makamu wa  Rais akisalimiana na Baba ASKOFU Methodius Kilain
 Dada Rose Kajirita akisalimiana na Makamu wa Rais
 Kikundi cha ngoma cha kakau kikitumbuiza uwanjani
 Kikundi cha kwaya BCC kikiwa Ikulu ndogo Bukoba
 Makamu wa Rais akiwa na mke wake Ikulu ndogo akisomewa taarifa ya Mkoa wa Kagera

 Waziri wa Habari,vijana, michezo na utamaduni akitoa taarifa ya maandalizi ya uzinduzi wa mbio za mwenge itakavyokuwa katika uwanja wa Kaitaba
 Mkuu wa mkoa akisoma taarifa ya Mkoa
 Naibu Waziri JumaNgamia
 MH kARAMAGI
 Mh Karamagi akiwa na Balozi Kagasheki Ikulu ndogo
 OCD Bukoba akiwa na Kamanda wa Police Mkoa wa Kagera Mayunga
 Mh Kagasheki akiwa na RAS wa Kagera Nasoro Mnambilla
Katibu wa ccm Bukoba Manispaa Janat Musa akiwa na Naibu Meya Alexsanda Ngalinda Ikulu ndogo Bukoba

No comments:

Post a Comment