Baada ya kukosa kazi katika sehemu za mambo ya massage kutokana umbile
kubwa alilonalo hatimaye mwanamama huyu aja na mbinu kabambe yenye
mafanikio ya kuwa-massage wanaume kwa kutumia maziwa yake yenye ukubwa
wa kutosha!
Kristy love ambaye anatokea Atlanta Georgia ametumia mwaka mzima
kujifunza kazi hiyo ila sasa anavuna mapesa mengi kwa siku baada ya
kuwafanyia massage wateja wake kwa maziwa yake makubwa.
"Nilipomaliza shule ya massage hakuna aliyetaka kuniajiri..nilikuwa
naulizwa kama naweza kusimama siku nzima wakifikiria uzito wangu utakuwa
kikwazo,hamna mtu aliyeenita'' alisema Kristy "Nikaamua kuanza kufanyia
watu nyumbani na mteja mmoja aliwahi kuniambia nipandishe blauzi
nikamwambia sifani mambo hayo,nilikuwa naona aibu kwa sababu ya mwili
wangu mkubwa! lakini nikagundua huenda kuna kitu kwenye maziwa ukiamua
kuyatumia kwa massage..nikaweka tangazo kwenye gazeti simu zikawa
zinamiminika'' alisema "Mwanzo ilikuwa ngumu sana kutokana na umbile
langu nikawa nazima taa wakati nikimfanyia mteja massagelakini siku
zilivyoenda nikawa najiamini zaidi"
Kristy yupo singo na haoni aibu kwa mwili alionao japo madaktari
wanamshauri kuwa unaweza kumletea matatizo kama ya moyo siku za usoni
No comments:
Post a Comment