Monday 14 April 2014

BUKOBA VETERAN KUSHIRIKI BONANZA LA PASAKA JIJINI MWANZA,PIA WAMUHANI MWANACHAMA MWENZAO ALIEFIWA NA BABA YAKE MZAZI MHANDISI VEDASTO

 Wadada wa Bukoba Veteran

Mwenyekiti wa Bukoba Veteran Ernest Nyambo akisoma majina na kiwango cha pesa zilizochangwa na wanachama kwa ajili ya rambirambi
 Wana Bukoba Veteran wakiwa nyumbani kwa mwanachama mwenzao Mhandisi Vedasto aliefiwa na baba yake mzazi
 Mhandisi Vedasto akiwa na mkewe wakipokea rambirambi kutoka kwa Super Mkude kwa niaba ya Bukoba Veteran
 Mhandisi Vedasto akitoa neno la shukrani kwa wana Bukoba Veterani kwa namna walivoshiriki mazishi ya baba yake mpaka kuja kuleta rambirambi
 Baada ya hapo sasa mambo yalikuwa hivi.....
 Kamua mbaya,kumbuka watu walitokea mazoezi kuja kuhani, pata bia,chakula, majibu unayo mwenyewe...



 mhandisi alisimama akasema jamani nimekamilika , swala la kinywaji ni uwezo wa mtu karibuni

 Ilikuwa hatariiiiiii
 Mwenyekiti na soda, mambo ya kwarezima,ila wengi wao walifunguaaaaa

Kila rakheri katika safari ya kuelekea Mwanza kwenye bonanza la Pasaka

No comments:

Post a Comment