Uongozi wa chuo cha ualimu -ERA kinachotarajiwa kufunguliwa januari mwakani,wameongea na wanafunzi wa shule ya sekondari bilele na kuwataka kuzingati mambo ya msingi wakati wakifanya mtihani wa mwisho kuhitimu kidato cha nne.(baadhi ya majengo ya chuo cha ualim
Mwl ocham .o. collins na mwl Pauline ngina wakisaini kitabu cha wageni shule ya bilele
Mwl Tulla william (mwl wa taaluma) akiwakaribisha uongozi kutoka chuo cha ualimu ERA kuongea na wanafunzi.
umakini..
wanafunzi wakisikiliza kwa makini
Bw mushobozi na mwl wa bilele
bw jeremiah mdau wa ERA
wanafunzi wakisikiliza
mwl ocham .o. collins (kutoka sauti) akieleza maswala muhimu ya wanafunzi kuzingatia kabla ya mtihani wa mwisho
Mwl Pauline ambae ni mkuu wa chuo ERA mtarajiwa akiwaeleza wanafunzi mafunzo yatakayotolewa na chuo cha ERA,CHUO KITATOA MAFUNZO kozi ya ualimu daraja la 3A, Stashahada(diploma ya ualimu)kwa miaka miwili, kituo cha kufanyia mitihani ya kujitegemea, Darasa la wanaorudia mitihani ya kidato cha nne (pc) kwa mwaka mmoja
wanafunzi wakipata soda kama kiburudisho, wakati wakisikiliza
picha ya pamoja baada ya kufundwa
Bi Paskazia barongo mkurugenzi wa passy community service ltd na mkurugenzi mkuu wa chuo cha ERA,ambae yuko nchini sweden kwa maandalizi ya ufunguzi wa chuo mwakani.
No comments:
Post a Comment