Timu ya yanga wakiomba dua kabla ya mazoezi kuanza katika uwanja wa ntungamo seminary
wadau jamco kushoto,ninyonzima na haruna kabla ya mazoezi kuanza
jamco akiwa na mrisho ngasa kabla ya mazoezi
vijana mazoezini
meneja wa yanga akibadilishana mawazo na wadau katika mazoezi
kushoto msemaji wa yanga akifuatilia mazoezi
ni kuruka juu na kushuka
uwanja wa ntungamo si mchezo
kocha mkuu wa yanga kazini
eheee sitaki mchezo hapa
ni mazoezi kwa vitendo
kipa akiwa katika mazoezi ya viungo
kocha mkuu na msaidizi wakifuatilia mazoezi
mazoezi ya viungo
vijana wako kikazi zaidi point tatu ndio sera waliyonayo
baada ya mazoezi canavaro alikwenda kushukuru mapadri wa ntungamo kwa kuwasaidia uwanja
No comments:
Post a Comment