Sunday 2 June 2013

KWAYA YA VIJANA YA KANISA YA KANISA LA KILUTHERI BUKOBA MANISPAA WAZINDUA ALBAM YA VIDEO IHITWAYO MPIGA DEBE




                                 waumini walifulika katika kanisa kuu la kirutheri kengere tatu


                                                 ilikuwa ni ,maneno na kulishwa neno la mungu
                                                      kwaya nyingi zilialikwa na hii ni ya watoto
                                                                          achungaji wakisikiliza neno
                            ama kwa hakika kwaya vijana waligusa roho za watu katika nyimbo walizoimba
                                                   waalikwa wakifuatilia shughuli nzima inavyoendelea
 ni baadhi ya wanakwaya ya vijana wanaozindua leo albam yao ya video inayoitwa mpiga debe
       kushoto mrs victor mmoja wa watu ambao wameuwa mstari wa mbele kufanikisha uzinduzi huu
 kushoto ndio mgeni rasmi katika uzinduzi wa albam ya kwaya ya vijana anaitwa Girbert kajuna
                                                ni wanakwaya ya usharika wa kashura
 mwalimu lobozi  na kwa nyuma timu ya kasibante redio wakiwa wanarusha live shughuli nzima inavyoendelea








                                                     waumini na waalikwa mbalimbali











                                                         Waumini wakiendelea kufuatilia ibada
KWAYA YA CHUO KIKUU JOKOFU WAKIIMBA KWENYE IBADA YA UZINDUZI WA ALBAM YA VIDEO YA KWAYA YA VIJANA KANISA KUU KENGERE TATU

No comments:

Post a Comment