Saturday 1 June 2013

PICHA: ADAM ABEID NA Bi. SARAH ITOLYA WAUAGA UKAPERA RASMI LEO HII JUMAMOSI TAREHE 01.06.2013

Mhhh.....Adam na Sarah wakijiachia kwenye ufukwe wa ziwa Victoria leo hii jioni.
Ukodak moment...mimi ni wako halali ...nitakupenda daima.


Chereko chereko!!! litaendelea usiku huu katika ukumbi wa Lina's Bukoba usiku huu..
























Wadau
Keki
Keki inayotarajiwa kuliwa na Bwana na Bibi usiku huu....karibuni sana...

No comments:

Post a Comment