Thursday 30 May 2013

YABAKI MASAA MACHACHE REDD'S MISS MULEBA 2013 KUPATIKANA,NI IJUMAA 31-5-2013,WAREMBO WATAKIWA KUZINGATI YOTE WALIOFUNDISHWA KIPINDI CHOTE CHA KAMBI

mratibu wa mashindano ya urembo mkoa wa kagera jamal kalumuna(jamco)akisisitiza jambo kwa warembo watakaochuana redd's miss muleba masaa machache yaliyobaki,kulia ni mrs lilian peter mwise,na kushota mr haruna twaha,

                              meza imejaa makaratasi,watu wako kazini usaili wa awali kabla ya mchakato kamili



                                                        kila mmoja ni kuitafuta namba moja
                                                 warembo wakiwa kwenye usaili wa awali
                                                         nani kuibuka kidedea

 babylove kalala redd's miss kagera 2013 na miss talent tanzania 2013 akiwafunda warembo
fuatilia nani kuwa marikia wa urembo wilaya ya muleba,burudani kutoka kwa dayne nyange na wengine kibao,karibu  waisuka muleba.mgeni rasmi atakuwa mkuu wa wilaya ya muleba.

No comments:

Post a Comment