Wednesday, 29 May 2013

VILIO NA MAJONZI VYATAWALA MAKABURI YA KYABITEMBE KATIKA MAZISHI YA MCHEZAJI WA ZAMANI WA RTC KAGERA CHARLES MWAKYOMA

            ni maeneo ya makaburi ya kyabitembe, ni wadau waliofika kumzika marehemu charles mwakyoma                                    
 rajabu paulini,mshindo,abuu omary,na mushamu ni miongoni mwa wachezaji waliobahatika  kucheza na marehemu
                                          wadau wakimzika marehemu charles mwakyoma


                                                      kaka wa marehemu akiweka udongo

              ni wakati wa kuzika,ama kwa hakika jitafakari wewe ulie hai ,umejiandaa katika hili
                                                    mtoto wa marehemu akiwa ajitambui wakati wa mazishi

                                          mwinyi akitoa salamu za rambirambi akiwakilisha wana veteran bukoba



                                                        apa ni kutafakari,zamu yangu inakuaje

 kaka wa marehemu akisoma wasifu wa marehemu,marehemu alikuwa mcheshi,mpenda watu,lakini kikubwa amepata bahati ya kuchezea timu kubwa za mpira wa miguu hapa Tanzania,wakati akichezea RTC KAGERA,alikuwa akicheza namba saba.
                        mwenyekiti wa wanaveteran bukoba ndugu ernest nyambo akitoa neno,kwa kiasi kikubwa wanaveteran wameshiriki katika msiba huu
 mwenyekiti akiwa kashika bahasha yenye ubani kabla ya kukabidhi kwa wafiwa, akiwa na mchezaji wa zamani wa simba abuu omary
 hapa ndipo alipostiriwa marehemu charles mwakyoma eneo la kyabtembe kata nshambya manispaa ya bukoba


                                                       picha ya pamoja kwenye kaburi la marehemu

                                           samora lyakurwa.abuu omary na hussein kaitaba baada ya mazishi
supa mkude,mwinyi  na wadau wengine maeneo ya makaburi alipozikwa marehemu charles mwakyoma




                                       apumzike kwa amani marehemu charles mwakyoma

No comments:

Post a Comment