Tuesday 4 June 2013

KAGASHEKI ASAIDIA UKARABATI WA TANK LA MAJI SHULE YA SEKONDARI MUGEZA

 mh mbunge wa jimbo la bukoba mjini amechangia kiasi cha shilingi milioni tatu kukarabati tank la maji katika shule ya mugeza sekondari ili wanafunzi wa bweni waondokane na adha ya kupoteza muda mwingi kufuata maji kwa mwendo mrefu mtoni na kupoteza muda wa masomo
 tank hili lilijengwa na mh kagasheki  katika shule hii ya mugeza sekondari miaka sabailiyopita, lilianza kuvuja na sasa katoa kiasi cha shilingi milioni tatu kurikarabati
                               mh kagasheki akiwa na mwenyekiti wa bodi ya shule mzee muyoza

                                         ni maeneo katika tank la maji linafanyiwa ukarabati
                       mh kagasheki akibabidhi shilingi milioni tatu kwa mwenyekiti wa bodi ya shule

                             mwenyekiti wa bodi ya shule akimkabidhi mkuu wa shule pesa iliyotolewa na mh kagasheki
                               mh tunakushukuru ila bado kuna tatizo la mahabara hapa

                                wanafunzi wa mugeza sekondari wa kimkaribisha  mh kagasheki


endelea kuangali jamcobk.blogspot.com

No comments:

Post a Comment